PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Ahsante mkuu, ila infinix hapana kabisaKwa hiyo budget alafu refurbished chukua note 10+ . Ukaaji wa chaji ni wa kawaida kwa Samsung na apple kwa mtumiaji wa kawaida wa simu. Apple wana battery ndogo lakini zipo optimized software na hardware zao hivo performance inakua nzuri kumaliza siku nzima lakini kama upo Guli guli uko[emoji28][emoji28] kuchaji simu kila siku tatizo chukua Infinix[emoji16] unakua battery 5000mAh siku 3 huchaji
Nishauri kuhusu matoleo ya kuanzia Samsung S10+ na iPhone XR kwenda juu mkuu. Naona una ufahamu mzuri.Kwa hiyo budget alafu refurbished chukua note 10+ . Ukaaji wa chaji ni wa kawaida kwa Samsung na apple kwa mtumiaji wa kawaida wa simu. Apple wana battery ndogo lakini zipo optimized software na hardware zao hivo performance inakua nzuri kumaliza siku nzima lakini kama upo Guli guli uko[emoji28][emoji28] kuchaji simu kila siku tatizo chukua Infinix[emoji16] unakua battery 5000mAh siku 3 huchaji
S20 kwa hio budget unapata hata S20 ultra ukitafuta vizuri, Apple apo unaeza XS max hata 11 plain lakini hazina telephoto lens kwenye upande wa camera japo kua inaeza isiwe issue kubwa.Nishauri kuhusu matoleo ya kuanzia Samsung S10+ na iPhone XR kwenda juu mkuu. Naona una ufahamu mzuri.
Mkuu hii telephoto lens ni nini inafanya?S20 kwa hio budget unapata hata S20 ultra ukitafuta vizuri, Apple apo unaeza XS max hata 11 plain lakini hazina telephoto lens kwenye upande wa camera japo kua inaeza isiwe issue kubwa.
Inshort samsung ni nzuri sana shida ake itabidi uwe mtunzaji kioo chief, ukiwa unatumia samsung unakua "Guardian of the galaxy"[emoji28][emoji28] na zinawahi kushuka bei tofauti na iphone. XR over S10 bora S10. Iphone aim kwenye XS max na 11 plain.
Lete pesa nikupe Samsunga A72.. nimeitumia kama mwezi mmoja tu.. RAM 8, Storage 128GBWadau hakika kipa umbele ni simu inayodumu sana na Chaji. Nisaidieni kupata simu hiyo hata kama ni Refurbished kwa maximum budget ya 1.1 TZS Million. Inatakiwa kama ni Samsung iwe at least S10+ na kama ni iphone iwe at least XR.
NB: Iwe inayokaa sana na Chaji not less than 1 day on full application.
Ahsante.
Ni lens ya kuzoom inatumika sana sana kwenye portrait mode, iphone 11 haina instead ina ultrawide lens ambayo inapiga picha sehem kubwa. XS Max ina telephoto lakini haina ultrawide, XR haina zote ina lens moja tu japokua zote zina portrait modeMkuu hii telephoto lens ni nini inafanya?
Mkuu vipi hii Apple iPhone 11 pro max kwa brand new au Refurbished naweza pata isiyo sumbua kwa bei gani? Na vipi performance yake kwa ujumla? Please naona kama ni nzuri sanaNi lens ya kuzoom inatumika sana sana kwenye portrait mode, iphone 11 haina instead ina ultrawide lens ambayo inapiga picha sehem kubwa. XS Max ina telephoto lakini haina ultrawide, XR haina zote ina lens moja tu japokua zote zina portrait mode
Mkuu hii itakuwa nzuri kuliko s10+ na iPhone XR and above?Lete pesa nikupe Samsunga A72.. nimeitumia kama mwezi mmoja tu.. RAM 8, Storage 128GB
Ndio A72 ni nzuri zaidi. Lete pesa yako.. location dar es salaamMkuu hii itakuwa nzuri kuliko s10+ na iPhone XR and above?
Kama Chaji ni kipaumbele kwa hii budget refurb Tafuta Samsung Galaxy s20 FE, sio premium kama s20 series nyengine ila ipo vizuri kwenye ukaaji chaji na perfomance ni flagship level.Wadau hakika kipa umbele ni simu inayodumu sana na Chaji. Nisaidieni kupata simu hiyo hata kama ni Refurbished kwa maximum budget ya 1.1 TZS Million. Inatakiwa kama ni Samsung iwe at least S10+ na kama ni iphone iwe at least XR.
NB: Iwe inayokaa sana na Chaji not less than 1 day on full application.
Ahsante.
Sio kweli. A72 haiwezi kuzidi S10+. inachoizidi ni kwamba imetoka 2021 na S10+ imetoka 2019 ila specs wise S10+ iko mbali sana kwa A72.Ndio A72 ni nzuri zaidi. Lete pesa yako.. location dar es salaam
Sawa mkuuSio kweli. A72 haiwezi kuzidi S10+. inachoizidi ni kwamba imetoka 2021 na S10+ imetoka 2019 ila specs wise S10+ iko mbali sana kwa A72.
Guardian of the galaxy [emoji3][emoji3][emoji3]S20 kwa hio budget unapata hata S20 ultra ukitafuta vizuri, Apple apo unaeza XS max hata 11 plain lakini hazina telephoto lens kwenye upande wa camera japo kua inaeza isiwe issue kubwa.
Inshort samsung ni nzuri sana shida ake itabidi uwe mtunzaji kioo chief, ukiwa unatumia samsung unakua "Guardian of the galaxy"[emoji28][emoji28] na zinawahi kushuka bei tofauti na iphone. XR over S10 bora S10. Iphone aim kwenye XS max na 11 plain.
Sawa mkuu. Na nini cha kufanya ili kutambua refurbished isiyosumbua ?Kama Chaji ni kipaumbele kwa hii budget refurb Tafuta Samsung Galaxy s20 FE, sio premium kama s20 series nyengine ila ipo vizuri kwenye ukaaji chaji na perfomance ni flagship level.
Kwa iPhone I highly recommend iphone 11 hasa ukaaji Chaji, hii pia refurb ni possible kwa hio bei.
.
Lakini iphone 11 pro max na Samsung s20 hapo ipi zaidi mkuuSio kweli. A72 haiwezi kuzidi S10+. inachoizidi ni kwamba imetoka 2021 na S10+ imetoka 2019 ila specs wise S10+ iko mbali sana kwa A72.
Kwa chaji iPhone 11. S20 plain ni average.Lakini iphone 11 pro max na Samsung s20 hapo ipi zaidi mkuu
Nunua Amazon ama mtu unaemfahamu ama mwenye sifa nzuri ya kukubali kurudishiwa kifaa, refurbished hazina uhakika kabisa unaweza ukapata simu nzuri ama ikawa kimeo.Sawa mkuu. Na nini cha kufanya ili kutambua refurbished isiyosumbua ?