Simu ipi ulishawahi kutumia hapa?

Simu ipi ulishawahi kutumia hapa?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
FB_IMG_1735904423144.jpg
 
Siemens A52
Nokia C3
Nokia 2600
Nokia 2300
Nokia N70
Nokia 2100
Nokia 3100
Nokia 3320
Nokia 1101

Nilishawahi kutumia zote hizo
 
Japo sio nkongwe lakin simu yangu ya kwanza kutumia ni 1112 nilipewa na nabu yangu mwaka 2019
 
Hapo nimeishi na hizo,
Nokia 5200
Nokia 5310
Nokia 6600
Nokia 1101
Nokia C3
Kwenye hizo N Series zilikua zamoto sana nimetumia N95 na N73
 
Kila kolamu Kuna simu nimewai Iba bwenini
 
Kwenye Kila Mstari zipo nilizotumia na Nilizonazo mpaka sasa.
changamoto ni Betri na Makava maana yamevunjika. ila hiyo 3250 ilinipa Heshima sana.
Kwa sasa natumia Nokia 3.4. Namsubiria Mfinland Mwenyewe bado Naimani atarudi kundini One day.
 
Back
Top Bottom