chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Hizi simu kwa hapa kwetu nadhani tunatumia asilimia 15 kati ya 100.
Tunapenda sana mitandao ya kijamii zile app bila app ambazo zitakuwa zina-track kama afya, mizunguko ya wanawake kwenye siku zao, bajeti, maeneo ambayo una kumbukumbu na n.k
Sasa unajua kuchepuka raha sana, basi nikapata katoto kwenye shughuli zangu huku na huku kujitahidi kuomba mechi kakawa kanafunguka kuwa siku za hatari wakati naomba.
Kumbe ni note kwenye zile app, siku moja nikapata mechi na ile siku nilikuwa na app yangu ambayo inakusanya rekodi zote kama nitaenda wapi, nitakuwa na maeneo gani na muda gani na siku gani mpaka mwezi.
Baada ya miezi miwili kamekuja kuniambia kana mimba ni kamchukua maelezo ila sikulidhika nayo ikabidi kwenda kwa dokta na majibu ya dokta yanaonyesha na rekodi zangu zimepishana. Nikakabana kamekubali sio yangu maana kila nikipiga point anashindwa kujibu