Stevemike Senior Member Joined Mar 12, 2011 Posts 117 Reaction score 15 Mar 30, 2011 #1 Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba mnielimishe tafadhali.
Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba mnielimishe tafadhali.