Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
Simu aina ya Nokia 2 inauzwa. Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents. Simu pamoja na accessories zake: cover (autofocus), charger USB, ear phones.
Bei 280,000 TZS maongezi yapo kiduchu.
Mmiliki anasafiri kwenda ulaya tarehe 28/8/2018 aliinunua tu kwa matumizi ya hapa Bongo. Kama unayo cash wasiliana na mimi.
Kuhusu nokia 2 link Nokia 2 - Full phone specifications
Sent using Jamii Forums mobile app