Ziko pouwa. Mkoani unatuma. Nipo hapa katavi njia panda niletee kwa 260000Simu aina ya Nokia 2 inauzwa. Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents. Simu pamoja na accessories zake: cover (autofocus), charger USB, ear phones.
Bei 280,000 TZS maongezi yapo kiduchu.
Mmiliki anasafiri kwenda ulaya tarehe 28/8/2018 aliinunua tu kwa matumizi ya hapa Bongo. Kama unayo cash wasiliana na mimi.
Kuhusu nokia 2 link Nokia 2 - Full phone specifications
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umefanya uamuzi njoo inbox tu mkuu.weka namba yako hapa hadharani, masuala ya kupeana namba inbox ndio mwisho wa siku mzijue identity zetu
Lete namba yako tuweke utaratibu jinsi ya kukufikishia.Ziko pouwa. Mkoani unatuma. Nipo hapa katavi njia panda niletee kwa 260000
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiuza hiyo simu ndo zitamutosha kuishi ulaya hizo! Weka namba ya simu.
Biashara inafanyika PM mkuu. Huku tangazo tu. Karibu chief.Sasa ukiuza hiyo simu ndo zitamutosha kuishi ulaya hizo! Weka namba ya simu.
Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents.