vipi ina kila kitu chake au?
Uwe mu wazi toa contacts zako had hadharani mtu akitataka kununua atakuona wapiView attachment 152877
Nitakupa chaja na USB data cable.
Ni nokia N9 ina screen kubwa kabisa(6cmx10cm, camera safi inayotumia flashlight, picha angavu HD , internal memory 16GB, very sensitive tourch screen, ina support program zote, haijawahi kufunguliwa wala kusumbua chochote. Simu ni yangu ndo naitumia kupost hii kitu... Bei 180,000/=. nipo DAR.
KARIBU