Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Xiaomi mi 10 naweza pata kwa shilingi ngapi?Kama una uwezo wa kuagiza simu Kenya Xiaomi redmi 9 unapata hio bei.
Angalau uwe na 1.5m kupanda mkuu,Xiaomi mi 10 naweza pata kwa shilingi ngapi?
[emoji849]Ungefuta kwanza hilo neno "nzuri " mkuu afu ndo tuanze kuchangia mada.
Anyway ningekuwa mimi kwa hiyo bajeti ningenunua used. Misimu mingi ya laki tatu ni ya ovyo haijalishi kampuni.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kuna hii simu hii ya Samsung A02 ni ya hovyo kupita hata tecno f1 [emoji23]Mimi ushauri wangu upo kwenye brand tu.Chukua samsung kwanza ni simu ambazo zinaeleweka zipo sokoni toka muda mrefu.Pili ni brand ambayo inakubalika popote ulimwenguni.Tatu ni miongoni mwa brand bora za simu.Hayo Masimu mengine wanayokutajia kama infinix,oppo,tecno na mengineyo yapo tu huku africa pengine na asia.Ukiachana na Samsung Brand nyingine bora ni Nokia japo wameshuka hadhi kidogo lakini wako vizuri kuliko hayo masimu mengine
Njoo pm mkuuHabari za weekend,
Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Hivi kweli unaanzaje kununua Oppo sjui infinix
Inazingua niniKuna hii simu hii ya Samsung A02 ni ya hovyo kupita hata tecno f1 [emoji23]