Most of Nokia phone zinaweza pata Tigo internet,au ata hizi samsung.muhimu ni kuingiza APN katika simu husika.Voda wana system ya kutuma APN direct kwenye simu yako after telling customer care your model.but Tigo inabidi uweke manually,after this unaweza pia tumia hiyo simu kama internet modem kwa laptop yako.Kwa Tigo jaribu kati ya hizi tigowap,tigoweb as APN au tumia tigo menu ktk simu yako ili kupata internet settings
Natumia Nokia E61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia PC Suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. fungua nokia PC suite na utaona option ya internet... na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...mkuu hapo kwenye nyeusi patamu. tueleweshe vizuri unafanyeje ili simu iweze kutumika kama internet moderm kwenye laptop?
Natumia Nokia E61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia PC Suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. fungua nokia PC suite na utaona option ya internet... na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
TAHADHARI: kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...
piga customer care...watakusaidia...ilimradi isiwe ya mchina!!Wakuu mimi nina nokia 3110c naweza pata hiyo huduma?
mkuu hapo kwenye nyeusi patamu. tueleweshe vizuri unafanyeje ili simu iweze kutumika kama internet moderm kwenye laptop?
natumia nokia e61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia pc suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. Fungua nokia pc suite na utaona option ya internet... Na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
tahadhari: Kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...
Natumia Nokia E61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia PC Suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. fungua nokia PC suite na utaona option ya internet... na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
TAHADHARI: kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...
MKuu nilijaribu kutumia hiyo kitu kama ulivyosema hapo ila mmmmh inakula hela hakuna mfano... yani ukiweka buku tano haichukui dk kumi
suluhisho ni kununua modem tu
nasikia blackberry ni cheaper unalipia internet kwa mwezi nakutumia 24/7 utakavyo. mara ya mwisho kama zain ilikuwa elfu 35. pata smarthone kila kitu mkononi, e-mail, facebook etc ina beep kama sms zikiingia
Nunua Bundle ya internet...usitumie kwa kuweka vocha...inakula kuliko mafisadi!MKuu nilijaribu kutumia hiyo kitu kama ulivyosema hapo ila mmmmh inakula hela hakuna mfano... yani ukiweka buku tano haichukui dk kumi
suluhisho ni kununua modem tu