SIMU SlMU SIMU SIMU

please kama anakuudhi we weka izi namba x35x0000# simu ikipigwa haiingii mpaka unapoweka tena #35x0000# then zinaingia.wewe utakuwa na uwezo wa kupiga tu na si kupokea

Duu..Huu ni ujambazi..
 
mtoto akililia wembe mpe,wacha tu aipekue atakayo yakuta shauri lake,nivigomu kuzuia mtu kukuandia msg
 
Tatizo si SIMU ni matatizo ya ndoa yanayo pelekea wenye mahusiano kuto kuwa waaminifu, ndio sababu zinazo zaa ubinafsi wa hiki changu kile chake tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyo FIKIRIA
 
jamani kama kuna mtu ambae amejaribu njia hiyo akafanikiwa basi atujulishe na wengine. maana nahofia cm yangu ya mchina nsije iblock
 
please kama anakuudhi we weka izi namba x35x0000# simu ikipigwa haiingii mpaka unapoweka tena #35x0000# then zinaingia.wewe utakuwa na uwezo wa kupiga tu na si kupokea
...Sorry mkuu Mob hiz namba unaweka kama unavyotaka kucheki salio? Maana simu yangu kila nikijaribu kubofya X inakuja namba 9. Kwa kweli nahitaji hii kitu naomba msiniulize kulikoni...!! Najua kuna watu wapekupeku humu kama ninayojaribu kuyaepuka huko kambini...!!
 
Na vipi kuhusu kufunga sms na ku_undelete messages? maana mnaongelea kufunga callz tu:brick:
 
Bonyeza star(*) badala ya X .
 
please kama anakuudhi we weka izi namba x35x0000# simu ikipigwa haiingii mpaka unapoweka tena #35x0000# then zinaingia.wewe utakuwa na uwezo wa kupiga tu na si kupokea

nilikuwa siijui mbinu hii
 
Jamani mi wyf wangu namba nyingi amekremu kichwani namba zilizo ktk cm hazizidi 3, hii imekaaje wakuu au na mi ndo vile?
 
mhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh we utakuwa unamcheat mzzzzzzzzzzzzzzzzeeeeeee umejuaje hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. SIJAIPENDA HIII KWA SABABU UMENIFUNDISHA KUTENDA DHAMBI
 
hakuana sababu ya kuficha simu kwa mkeo au mpenzi wako, labda uwe wale watu wa intelijensia, vinginevyo wewe utakuwa una mambo yako unajua si mazuri katika jamii unayaficha, mbona wengine wako huru tu na cm zao kwa wake zao au waume zao na wanaishi kwa furaha? kwa nini uishi kama jambazi anayejificha mbele ya polisi, kuwa huru kama mabo yako ni clean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…