Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika 60k nijulisheiko poa..nnauhitaji tu wa fweza!
Samsung A10 ipo guder nami nina shida na hela ila nipo sumbawangaA10 ndo nn
Hivi Hivi Tecno Inaweza Kuwa Kwenye Hali Nzuri?
Utauza huko huko sumbawanga,huku mjini samsung A10 imefikia shilingi 120,000 taslim!! Tena iwe mpya na masimango juu!Samsung A10 ipo guder nami nina shida na hela ila nipo sumbawanga
Na K7 imefika ngp mkuu?😁Utauza huko huko sumbawanga,huku mjini samsung A10 imefikia shilingi 120,000 taslim!! Tena iwe mpya na masimango juu!
Jamaa anataka 150k wakati kitaa hata ya 50k unapata tena imetumika siku chache tuKula 60000 mkuu
Uchumi wa kati umeongeza idadi ya weziJamaa anataka 150k wakati kitaa hata ya 50k unapata tena imetumika siku chache tu