Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
iyo c2 ilikua ya motoNokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
Ndo uwezo wake....Samsung Aseries yenye kamera kali ni A80 na A70 nyingine pamoja na kuwa na Kamera 3, mpk 4 bado ni utopolo.....Mimi nipo nje ya mada please. Simu yangu sumsung A50 ina camera mbaya inatoa picha mbaya. Plz advice me nidownload camera gani kwenye playstore
Balaa e7View attachment 1631915
Nokia E7-00 na E72
Phillips SavyPhilips na mkonga wake hiyo ilikuwa hamna haja ya kutafuta mtandao bali mtandao unakutafuta wewe.