TODO
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 219
- 62
heshima kwenu wanabodi.nimeambiwa na rafiki yangu kuwa simu aina ya blackberry inasababisha matatizo ya ngozi kwa mtumiaji hasa kuwashwa na kutokwa na vipele.Anasema amesikia kutoka kwa Odhiambo Joseph mtangazaji wa BBC swahili.
Kwa kuwa tuna forum yetu hapa ya maprofessionals naomba maprofessional wenzangu tuambiane ukweli juu ya hili ili tuokoe jamii yetu ya kitanzania iliyozoezwa kuvamia vitu bila hata taarifa zozote mhimu za awali.
Naomba kuwasilisha, tusisite kutoa kuchangia