SIMU YA BLaCKBERRY

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
62
heshima kwenu wanabodi.nimeambiwa na rafiki yangu kuwa simu aina ya blackberry inasababisha matatizo ya ngozi kwa mtumiaji hasa kuwashwa na kutokwa na vipele.Anasema amesikia kutoka kwa Odhiambo Joseph mtangazaji wa BBC swahili.

Kwa kuwa tuna forum yetu hapa ya maprofessionals naomba maprofessional wenzangu tuambiane ukweli juu ya hili ili tuokoe jamii yetu ya kitanzania iliyozoezwa kuvamia vitu bila hata taarifa zozote mhimu za awali.

Naomba kuwasilisha, tusisite kutoa kuchangia
 
Hukusikia vizuri, inatokea kwa watu wachache saaaaaaaaaaaaana, say 1 kwenye watu laki moja
 
hyo ni kwa wa2 wenye allergy ya products zlzotengenezewa hzo cm! hujawah kuckia some people wakvaa eg cheni za silver wanatokwa na vpele na kuwashwa even kubabuka ngoz!? thats all.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…