Simu ya Samsung A12 laini zinasoma 'emergency'. Shida ni nini?

Simu ya Samsung A12 laini zinasoma 'emergency'. Shida ni nini?

Ingia settings>Connections>Mobile Networks>Access Point names, baada ya hapo kama unatumia mtandao wa Voda, Tigo, Halotel, Airtel ,TTCL na mingine

Bonyeza alama ya + na kisha kwenye sehemu ya Name andika jina la mtandao na kisha malizia neno mobile, e.g, halotel mobile

Kwenye APN andika neno internet

kwenye APN roaming protocol weka ipv4
Kwenye APN protocol weka ipv4

Bonyeza nukta tatu za juu upande wa kulia na kisha chagua neno save na hapo umemaliza kila kitu, fanya hivyo kwenye sim card (laini) ya pili na hapo internet itarejea
 
Laini yake haisomi, hii njia ni kwa ajili ya kuunganisha internet
 
Uli restore mwenyewe kwa kubonyeza zile batani mbili si ndio? Cha kufanya hapo mpelekee fundi simu mwenye computer atakulekebishia tatizo lako gharama yake ni 5K mpka 10K
 
Laini yake haisomi, hii njia ni kwa ajili ya kuunganisha internet
Hapana,samsung ziko hivyo mkuu. Nlinunua samsung last month..nkaweka laini inasoma emergency...nikalazimika kurudi dukani. Jamaa akacheka kidogo,halafu akafanya kitu kama alicho elezea jamaa hapo,simu ikawa poa na laini ikaanza kusoma
 
Repair imei number.. au update software..japo ku update mara nyingi sio suluhisho...ila kwenye IMEI 100%
 
Back
Top Bottom