Ayoub Nimrod Mbwilo
New Member
- Feb 10, 2018
- 2
- 4
Nimefanya hivyo na bado inakataa,Habari wadau?
Natumia simu ya samsung A12, nilirestore simu na baada ya kuweka line zinasom emergency shida itakua ni nini?
Laini yake haisomi, hii njia ni kwa ajili ya kuunganisha internetIngia settings>Connections>Mobile Networks>Access Point names, baada ya hapo kama unatumia mtandao wa Voda, Tigo, Halotel, Airtel ,TTCL na mingine
Bonyeza alama ya + na kisha kwenye sehemu ya Name andika jina la mtandao na kisha malizia neno mobile, e.g, halotel mobile
Kwenye APN andika neno internet
kwenye APN roaming protocol weka ipv4
Kwenye APN protocol weka ipv4
Bonyeza nukta tatu za juu upande wa kulia na kisha chagua neno save na hapo umemaliza kila kitu, fanya hivyo kwenye sim card (laini) ya pili na hapo internet itarejea
Hapana,samsung ziko hivyo mkuu. Nlinunua samsung last month..nkaweka laini inasoma emergency...nikalazimika kurudi dukani. Jamaa akacheka kidogo,halafu akafanya kitu kama alicho elezea jamaa hapo,simu ikawa poa na laini ikaanza kusomaLaini yake haisomi, hii njia ni kwa ajili ya kuunganisha internet
Nchi ipo kwenye emergenceHabari wadau?
Natumia simu ya samsung A12, nilirestore simu na baada ya kuweka line zinasom emergency shida itakua ni nini?