Habari.
Nauza simu ya Samsung A30 toleo la mwaka huu, simu ina miezi mitano tu toka inunuliwe, ipo katika hali nzuri ila tu Screen Protector ndio imecrake..
SPECS.
●4GB RAM
●64HDD
●Laini Mbili
●MP 16
●Mengine jionee mwenyewe hapa..Ukinunua utapewa na Cover zake (zipo)Charger yake na Lisiti.
○Location:Sakina _ Arusha Tanzania
■Bei ni 450000 tu ila inazungumzika.
[emoji724]Mkoani itaagizwa.
Mawasiliano yafanyuke Pm.. Ukiwa interested niambie niku_Pm
□Sababu ya Kuuza ni Vyuma vimekaza!