Aisee, bas sawa.Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
Soon naenda kuchatia kitandani ndio nitachaji hapo hapoMpaka izime ndo ucharge?
Emu tuone π
Furu chaje babuMwana Jamii Forum simu yako charge ipo asilimia ngapi mda huu?
Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
Niko na dk nyingi za halotel, lete namba nikupigie π