ishazimaBado haijazima tu
Mwana Jamii Forum simu yako charge ipo asilimia ngapi mda huu?
Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
ishazima
PcHahah! Umelog in JF kupitia simu ya swalehe
kama yangu mrembo
simu yangu ina asilimia zile za kupigia screen shoot asilimia 13 kushuka chiniMwana Jamii Forum simu yako charge ipo asilimia ngapi mda huu?
Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
screenshot please nione?52 %
tusio tumia simu vipi tuweke 100% za pc zetu?