Simu yangu aikamati mnara

Simu yangu aikamati mnara

Tmass

Senior Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
124
Reaction score
106
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
 
SimCard zipo On?
Ingia Setting>>>Connection>>>Simcard management kisha ziweke on. Kama zipo Off
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
Kabla ilikua inakamata?
Ilianguka? Ilikumbwa na majanga yeyote?
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
MKUU ULISET APN FRESH?
 
Back
Top Bottom