Habar hii simu haiwaki imezima gafla nimepeleka kwa kila aina ya fundi wamebadilisha kioo imeshindikana kuwaka ikiweka chaji inapeleka ukiwasha inatoa mlio wa kuwaka ila kioo hakiwaki.
Hizo zisha expire kimfumo ndio maana zinauzwa laki laki.
Simu hizo ni mithili ya nyumba isiyokuwa na mlango maana hazina security updates zozote. Hapo ilipofikia ndio hatma yake. Tafuta laki ukanunue nyingine.