D Dee_Aristotle Member Joined May 29, 2021 Posts 54 Reaction score 30 Dec 4, 2022 #1 Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02
Habari zenu wana jamii Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala Natumia Samsung A02