The Master pizo
Senior Member
- Dec 18, 2019
- 149
- 125
😂 😂 niuze tecno ninunue simu kwani tecno sio simu?Kukusaidia mkuu uza iyo Techno nunua simu ..
Nilifanya exchange na mtuPole Sana
Uliinunua Mpya Ama Ina Warranty
Dah kwa kweliTecno ni simu za matajiri, you buy it today after 2 months malfunction starts, you dump it you buy another mzunguko unaendelea
Huenda Uliyebadilishana Naye Alikuwa Anajua Tatizo HiloNilifanya exchange na mtu
Kuna ic inayohusika na hayo uliyoyataja inabidi ibadilishwe, baada ya hapo itakaa sawa. Kuna fundi yupo maeneo ya ubungo nina uhakika anaweza akakusaidia. Kama unampango wa kuitengeneza niambie nimuulize ili nikupe mawasiliano yake.Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili
Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo
=Haiwashi WI-FI
=Haiwashi BLUETOOTH
=Haiwashi RADIO
=GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo
Nimejaribu kui restore sana bila mafanikio
Nimeiflash bila mafanikio
Naomba mnisaidie na nyie wakuu maana napata shida sana
Dah Niko Bagamoyo Ila sio mbaya Nipe contact mzeeKuna ic inayohusika na hayo uliyoyataja inabidi ibadilishwe, baada ya hapo itakaa sawa. Kuna fundi yupo maeneo ya ubungo nina uhakika anaweza akakusaidia. Kama unampango wa kuitengeneza niambie nimuulize ili nikupe mawasiliano yake.
YawezekanaHuenda Uliyebadilishana Naye Alikuwa Anajua Tatizo Hilo