Simu yangu inatumia sana Intaneti

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jamani, simu yangu inatumia sana bandle la internet. Je, nifanye njia ipi kupata bundle kwa bei nafuu kwani nataka kuanza kusoma kwa kutumia online mecahnisns.

Hivi wale wa internate cafe mbona saa nzima wanacharge book tu. Je, wao wanafanyaje kupata bandle kubwa Kwa bei nafuu na hadi wanapata faida?

Niko mbezi Dar naomba ushauri
 
1. Tafuta hela
2. Hela itakupa internet kwa speed uitakayo wewe
 
Ukute katika simu yako kuna background app zinakula mtandao wako ni wewe tu na kucheza na hizo settings
 
Bando kubwa, pesa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…