Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
mmh hii hapana mkuuUsed from Dubai ndio shida zake hizo
Mbona hii sio error message? Uli click "install now" inayoonekana hapo?Simu yangu ni IPHONE Xs Max
Storage 64
Lakini nashindwa kuinstall hii new update
New update ni IOS 17.5.1
Uki install inaleta Error
Shida n nn??
ndio nika updateIphonr ilikua na IOS ya 15
heeeeh kwwiyo kuistore kawaida haiwezekanHio inabidi ikapigwe updates na mashine labda. Wacheki hawa vijana wa istore za sinza, watakusaidia.
yeahMbona hii sio error message? Uli click "install now" inayoonekana hapo?
Basi ungeweka screen shot ya baada ya ku click.yeah