Simu yangu Oppo nafungiwa WhatsApp kila muda

Simu yangu Oppo nafungiwa WhatsApp kila muda

imekuaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
221
Reaction score
426
Habari.

Juzi kama wiki mbili zilizopita nilinunua simu ya OPPO a9 ,

Nimejikuta namba zangu mbili site zimefungiwa WhatsApp Kwa sasa nimejaribu kutumia tatu na zote zimefungiwa.

Naombeni mnisaidie shida mini wakuu?
 
WhatsApp imefungwa kwenye oppo R9 nyingi ikiwemo Yako, tafta simu nyingine
 
Simu za "kichina" zina shida kwa jinsi WhatsApp wanavyokagua kama app/apk ni genuine.
 
Ni simu nyingi tu ambazo zina vision ya zamani zinafungiwa Whatsapp ni mdaa sasa wa kubadilisha simu
 
Oppo za mtumba ndo majanga yake hayo tafuta simu nyingine
 
Back
Top Bottom