Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 348
- 734
Nenda kwenye sehemu imeandikwa appl manageWana teknolojia hamjambo?
Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.
Naomba kuwasilisha.
HahahahahahahaTuko uchumi wa kati mkuu, achana na bidhaa za uchumi wa chini kuepuka usumbufu mdogo mdogo kama huu.
embu jaribu kuireset kwanza.
Muhimu mawasiliano nduguTupo uchumi wa kati
Halafu ndugu yetu unapambana na tecno.
Ni tecno aina gani?Muhimu mawasiliano ndugu
Wana teknolojia hamjambo?
Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.
Naomba kuwasilisha.
We mzee Bujibuji umenifanya nimecheka kwa nguvuTECNO Tanzania njooni mchukue kolokocho lenu
hizi simu ni mchicha mwiba jamani,mbona hamtuelewi??same with me, hii tecno camon11 inazingua hatari, ili crash os nikawarudishia tecno wakaweka os nyingine hapo ndipo shughuli ilipoanzia os sio stable tena, ina crash google, ina crash na kingine chochote itakacho kiona yenyewe. Siku nyingine ina stop hadi UI, hapo inaanza kuji restart... Nimesha factory reset zaidi ya mara 6, na haikubadi ku install updates anazotuma develover, hapa tunafanyeje wakuu mawazo yenu plz
Kwa hiyo wewe huwa unanunua simu gani kiongozi?hizi simu ni mchicha mwiba jamani,mbona hamtuelewi??
yaani kweli unaandaa laki 250k unaenda kununia tecno jamani[emoji3063][emoji3063]
Restore Simu yakoWana teknolojia hamjambo?
Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.
Naomba kuwasilisha.
mimi ni masikini mwenzako,juzi nimenunua a20 kwa 270 mkononi kwa mtu.Kwa hiyo wewe huwa unanunua simu gani kiongozi?
Mmmmh simu za kununua kwa watu sio nzuri.what if imetumika kwenye uhalifu? Au iliibiwa somewhere?mimi ni masikini mwenzako,juzi nimenunua a20 kwa 270 mkononi kwa mtu.
nina furaha sana,hata sijui huwa mnakwama wapi??
mkuu ni vile utaamua wewe kununua simu ya wizi au ya uhalifu.Mmmmh simu za kununua kwa watu sio nzuri.what if imetumika kwenye uhalifu? Au iliibiwa somewhere?
Kwangu hapanamkuu ni vile utaamua wewe kununua simu ya wizi au ya uhalifu.
hununui simu ilimradi tu una hela.
naam.Kwangu hapana