Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

Wana teknolojia hamjambo?

Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.

Naomba kuwasilisha.
Yangu ni techno pia imegoma kwny Google mail sisomi tena email via my Simu!Tafadhali nami naombeni msaada wakuu wangu
 
Hamia Xiaomi kitu cha Sñapdragon hachana na hizo mtk za kiboya
hizi simu ni mchicha mwiba jamani,mbona hamtuelewi??

yaani kweli unaandaa laki 250k unaenda kununia tecno jamani[emoji3063][emoji3063]
But kuna wachina wazuri wazuri kina xiaomi etc
 
Nilijua tu huu uzi watu wasipokandia Tecno sijui 😂. Yangu nlipoona inasumbua sumbua nikaamua kuiflash kumbe kuiflash ndo nimeiua mazima, nkaipasua nkampa mtoto achezee kama kigari.
 
Nilijua tu huu uzi watu wasipokandia Tecno sijui 😂. Yangu nlipoona inasumbua sumbua nikaamua kuiflash kumbe kuiflash ndo nimeiua mazima, nkaipasua nkampa mtoto achezee kama kigari.
Aisee
 
Chukua Infinix wako vizuri .
infinix,itel na tecno ni simu moja ile ile wametofautisha majina tu.
Kampuni ni ile ile na mmiliki ni yule yule.
Tafuta Xiaomi hutojuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…