Unaweza kununua simu yeyote unayoipenda(yenye internet na uwezo wa kudownload, of course) sio lazima iwe symbian au smartphone.Baada ya hapo wembelea getjar.com select category ya education,hapo kuna mambo mengi kama dictionary,mashine za kujibia maswali,scientific calc.na nyingine.
Ikikataa kudownload kuna site nyingine safi sana,kwa sasa imenitoka kidogo nikikumbuka nitaiweka(nikisahau jaribu kuni PM)