Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1662710331314.png

Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea.

Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September.

Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
 
Kuanzia iPhone 12 ndiyo watafurahia zaidi hii update, iPhone 8 mpaka 11, wana uwezekano mkubwa wa kupitia kipindi kigumu kwenye battery life.
 
Back
Top Bottom