Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila mwezi utakuwa ukiipata gb kadhaa hatukupi zote kwa mara moja utakuwa ukipata kila mwezi
Sasa ni mwezi wa pili huu hatuoni gb zile walizotuambia kuwa watakuwa wakitupa kupiga huduma kwa wateja wanasema tunalifanyia kazi miezi miwili imekata mpaka sasa naona tayari nikama tumeshapigwa
Sasa ni mwezi wa pili huu hatuoni gb zile walizotuambia kuwa watakuwa wakitupa kupiga huduma kwa wateja wanasema tunalifanyia kazi miezi miwili imekata mpaka sasa naona tayari nikama tumeshapigwa