Mtoa mada! Tujibu hiiOfisi zenu zinapatikana wapi nifike hapo kujichagulia mwenyewe?
Amekimbia biashara yake, wamachinga wa bongo pasua kichwa sana.
Usilazimishe nikupigie, wewe sema ilipo ofisi ili niweze kufika mwenyewe hapo. Sawa sawa?tupo mwenge nzasa street tupigie 0712326009 ukifika mwenge tukuelekeze ofisini