Phone4Sale Simu za mezani zinapatikana Kwa bei ya kutupa

Phone4Sale Simu za mezani zinapatikana Kwa bei ya kutupa

PrimeTech255

Member
Joined
Jan 16, 2024
Posts
21
Reaction score
11
Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani)
PXL_20240416_051346540.jpg


Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako wa muhimu muda wote.


✨ Hata maeneo ambayo mtandao ni korofi basi hii simu ni suruhisho la kudumu.
PXL_20240416_051528585.jpg



✨ Huawei F316 ni simu isiyochagua line ya mtandao (@vodacomtanzania , @airtel_tanzania @tigo_tanzania @halotel_tanzania nk)
PXL_20240416_051634687.jpg

✨ Ikiwa katika matumizi muda wote inakaa na chaji masaa 150, Ina sehemu ya Radio 📻 , Inatuma meseji, unaweza kuitumia kama alarm na mambo kadha wa kadha

Nina huakika unahitaji hii simu na
Unaipata Kwa Tsh 75,000 ✅


Nipigie muda huu kupitia simu namba⬇️
📞 +255 765 576 003
PXL_20240416_051528585.jpg


✨ Popote ulipo nchini Tanzania simu itakufikia Kwa uaminifu mkubwa na pasipo kuwa na changamoto yoyote.
PXL_20240416_051436065.jpg
 
Elfu 75TZS ni bei ya kutupa na juu watu wanakosa 1300 ya nauli ya daladala?
 
Kama huna eflu 75 sema sina siyo hatuna au watu wanakosa hela ya kula,elfu 75 ni bei poa tu kama una uhitaji na hiyo simu.Na wangine elfu 75 anaenda nunua gunia la mahindi.Chaguo ni lao wenye uhitaji.
 
hizi tunazipata kwa afuarobaini kwangu nimeweka jiko la nje na sebuleni nina mpango wa kuwek hadi chooni unafanya yako unawasiliana
 
75,000 ndio bei ya kutupa? [emoji848]
 
Back
Top Bottom