Simu za mkononi: huimarisha au kusambaratisha ndoa?

Simu za mkononi: huimarisha au kusambaratisha ndoa?

dazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
365
Reaction score
76
Wana JF lipi ni la busara kati ya haya mawili kuhusu simu ya mkononi. Je, ni busara kufuatilia (kupokea) simu au meseji za mwenzi wako au ni busara kila mmoja aweze ku maintain simu yake na kuacha kusoma/kupokea msg/simu ya mwenzake.
 
Inategemea wewe na mwenzio mna mission gani.
 
Mimi akipokea au sms ya simu yangu shauri yake ila asiniambie lolote kuhusu kupokea kwake cm, nitampiga mateke kwa vile si yake.
 
Back
Top Bottom