dazu JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 365 Reaction score 76 Apr 5, 2011 #1 Wana JF lipi ni la busara kati ya haya mawili kuhusu simu ya mkononi. Je, ni busara kufuatilia (kupokea) simu au meseji za mwenzi wako au ni busara kila mmoja aweze ku maintain simu yake na kuacha kusoma/kupokea msg/simu ya mwenzake.
Wana JF lipi ni la busara kati ya haya mawili kuhusu simu ya mkononi. Je, ni busara kufuatilia (kupokea) simu au meseji za mwenzi wako au ni busara kila mmoja aweze ku maintain simu yake na kuacha kusoma/kupokea msg/simu ya mwenzake.
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,006 Apr 5, 2011 #2 Inategemea wewe na mwenzio mna mission gani.
Hmaster JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 346 Reaction score 86 Apr 5, 2011 #3 Mimi akipokea au sms ya simu yangu shauri yake ila asiniambie lolote kuhusu kupokea kwake cm, nitampiga mateke kwa vile si yake.
Mimi akipokea au sms ya simu yangu shauri yake ila asiniambie lolote kuhusu kupokea kwake cm, nitampiga mateke kwa vile si yake.