Nimeanza kufikiria kununua simu mpya hasa yenye camera nzuri, Nokia N73 looks good, lakini huwa naogopa kulipa too much for a phone. Pia ningependa QWERTY keyboard lakini bei ndo inazidi kuruka, LG KS360 inaonekana ina keyboard fresh na ni cheap, ila camera is not so great Im told.
Currently nina Motorola V360 ambayo ina kama miaka miwili hivi, ni simu nzuri ina Java so nimeinstall Opera webbrowser na Mig33, ina camera lakini basic VGA, ina GPRS/Edge data connection na pia in MicroSD slot.
Mkuu nadhani hata ebay wanasimu nzuri sana ila inategema kama unapenda new ndio kama hiyo site uliyotoa ila kama unataka used nadhani ebay wanasimu nzuri sana tena sana lakini yote sawa mkuu.....Pamoja