Mikopo benki inakatiwa bima in case ukifa hujamaliza kulipa. Yet wanatoza almost 20%. Hii ya simu za mikopo ni 90%+Kwani umelazimishwa kukopa mzee kama huna uwezo baki na kiswaswadu kinachokisumbua ni umekimbia umande unataka upewe mkopo wa simu mwaka mzima halafu malipo ulipe hela ya cash that is bullshit......ujajiuliza ukiibiwa simu,ukifa,ukiharibu simu hizo hasara zinarudi vp ?
Kwa upande mwengine wanasaidia sana jamii watanzania wengi kutoa tsh 300k kwa pamoja anunue simu hawezi ila kutoa buku au buku jero kila siku anaweza.
Kwani kuna mtu analazimishwa kuchukua mkuu ?Ni sawa kabisa. Lakini ndio riba 90%?
Nahisi kila mtu huwa anajua kuwa hapa nimedhulumiwa😅 una maana akiflash hawataijua iliko? Si huwa simu ina IMEI #Siku hizi watu wanakopa halafu wanaenda kuziflash anatokomea mbali kampuni inakula hasara. Katika watu 10 waliokopa 4 tuu ndio wanamaliza kwa uaminifu.
Nchi imekosa watu waaminifu balaa, sasa mtu kwa shida zake anaenda kukopa, then anaishia kuiba maana huo ni wizi.Siku hizi watu wanakopa halafu wanaenda kuziflash anatokomea mbali kampuni inakula hasara. Katika watu 10 waliokopa 4 tuu ndio wanamaliza kwa uaminifu.
Siku hizi kuna mafundi wanafuta mpaka IMEI namba hizo simu inakuwa huwezi kuitrace kabisa ninachoshangaa kwanini bado wanaendelea kukopeshaNahisi kila mtu huwa anajua kuwa hapa nimedhulumiwa😅 una maana akiflash hawataijua iliko? Si huwa simu ina IMEI #
Hakuna watu tumekuwa wezi na matapeli kama watanzania. Mtu anakopa ila kwenye kulipa ndio inakuwa mtihani.Nchi imekosa watu waaminifu balaa, sasa mtu kwa shida zake anaenda kukopa, then anaishia kuiba maana huo ni wizi.
Tunakoelekea kwa lifestyle tunayoishi, kila mtu ataishia kukopa tu, iwe direct au indirect! Watu wajifunze kuwa waaminifu.
A15/A16 bei ya jumla ni chini ya 350K, wao wanachukua kwa Jumla sio reja Reja so sometime inafika hadi mara 3 ya bei halisi.Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200. Mwaka ukiisha kalipia Tshs 872 K. Sijui hii imekaaje na mamlaka zinazosimamia makampuni haya wala zile zinazolinda consumers. Sababu hata benki hazitozi riba za kiwango hiki kwenye mikopo yao.
Mwisho wa siku problem ni mkopaji.Benki ikitoa mkopo kwa riba ya 90% utasikia BOT au mamlaka nyingine wanailima😁