Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

Najuta sana kununua simu used from dubai ...ilikua google pixel ,ilizima ghafla tuu....mpaka leo iko usingizini .....
Infinix na Tecno tuwape maua Yao ..

Pixel nying ni miyeyusho ,hakuna kitu kabisa ...mbwe mbwe TU[emoji38][emoji38]
 
Infinix na Tecno tuwape maua Yao ..

Pixel nying ni miyeyusho ,hakuna kitu kabisa ...mbwe mbwe TU[emoji38][emoji38]
Kama simu ni calculator wape hao Tecno na Infinix maua tofauti na hapo hakuna jipya ...
 
Najuta sana kununua simu used from dubai ...ilikua google pixel ,ilizima ghafla tuu....mpaka leo iko usingizini .....
.google pixel nying zinaflashiwa kuwa global version...ipeleke wakaiflash tena
 
Hizi simu used from dubenga ni majanga. Nunueni simu eBay.com pale unapata used,genuine,refurb na hata new kabisa. Pia zipo simu za minada ukishinda mnada unadaka mashine.
Hizi za Dubai zitatutoa makende.
 
Back
Top Bottom