kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Simu za Oppo, Vivo, Aquos zikoje na ubora? Wana matoleo mengi balaa
Oppo zimefurika sana Tanzania hizi simu yaani wana matoleo mengi balaa hata bei zake sio ghali sana
Wakuu kuna simu nimeona zinaitwa Oppo nafikiri ndo kampuni wana matoleo mengi balaa!! Yaani unaweza kuhesabu kuanzia 2 hadi 99 ni matoleo hayo yaani mfano oppo A1 hadi oppo A99
Hizi simu zipoje na ubora?maana naona zimekua nyingi sana, mapungufu yake ni yapi?
Pia kuna hizi za Vivo, na Aquos ubora wale upoje?