Simu za Redmi zina shida ya overheating?

Na-comment kwa kutumia Redmi note 11 pro hakuna hiyo makitu na niliupgrade toka Redmi note 9S kwenda 11pro na kwenye hii note 9S SIJAWAHI PATA HIYO ISSUE. Inawezekanaje kuwa copy hiyo mazee

[emoji482] Karibuni tuanze kuukaribisha mwaka 2023
 
Natumia Redmi Note 10, naona kama heating yake ni ya kawaida tu, sijaona kama ni tatizo
 
Na-comment kwa kutumia Redmi note 11 pro hakuna hiyo makitu na niliupgrade toka Redmi note 9S kwenda 11pro na kwenye hii note 9S SIJAWAHI PATA HIYO ISSUE. Inawezekanaje kuwa copy hiyo mazee

[emoji482] Karibuni tuanze kuukaribisha mwaka 2023
Toa location Mpwa, Mimi Niko hapa Ibungu Lounge Mabibo Mwisho
 
Dah!! Mpwa I wish ningekua darisalama mie napatikana mji kasoro bahari ndani ndani huku nimeamua kuanza na laini baadae nakazia na ngumu [emoji1787][emoji1787]
 
Hawakwambii tu, looks like factory error. Kuna batch ya hizi simu zilikuja na mawenge hatari, ila generally ziko vzr

Kati ya bidhaa za china nnazozikubali ni bidhaa za Xiaomi, including hizo redmi
 
Nimetumia Redme 10 iko poa na sasa wiki ya pili hiii natumia Redme note 11 pro Plus hii product ya India iko poa pia
Mkuu yangu ni note 11 ila inazingua gbWhatsapp haitaki kuinstall kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…