Simu za viganjani zina mambo


Wewe nawe ukiona unaibiwa huwa unatafuta mwanaume mwingine wa kukufariji au?
 


Ngo, nimesema clearly kwamba, hakuna mtu aliyemkataza mwenzie kushika simu yake. na wala sijasema kuwa yeye yangu haishiki (maana siwezi kujua ninapoiacha simu yangu jirani naye kama yeye hana tabia ya kupekuwa simu yangu au la), kama anafanya hivyo, kivyake. ila mimi sipekui simu ya mume wangu, kuishika naishika... kuitumia naitumia kila ninapohitaji kufanya hivyo, ila kuipekua ndo siipekui................ that is me, na nitaendelea kuwa hivyo
 
Jamaa aliamini kwakuwa ameshaisoma mkewe atakuwa wazi,ila anajilaumu kwa hilo
 
Jamaa aliamini kwakuwa ameshaisoma mkewe atakuwa wazi,ila anajilaumu kwa hilo

Anajilaumu alafu kakaa tu kimya ningekua mimi ningemtandika mpaka aseme na walah angesema 2 shwain nimeona msg unaifuta halafu unaniambia cjui lazima kingeeleweka hapo huyo mwanaume analelewa nini?
 

bacha said:
Wewe nawe ukiona unaibiwa huwa unatafuta mwanaume mwingine wa kukufariji au?

Bacha,
Alilosema mdau hapo juu ni la kuheshimu. We kwako kumfanyia wife infi ni sawa tu?! kwani yeye roho yake ni ya chuma? Hana wivu? Wanaume bwana, mnashangaza sana!!! Unamtesa mwenzio kwa kumcheat alafu unaona ni sawa tu. Asubiri umletee maradhi sio? Kwi kwi kwi. Umoja ni nguvu............. malizi mwenyewe. Kwa kauli hiyo, mi nikigundua mwenzangu ananicheat tutachangia tu kuuleta huo ugonjwa. Siwezi kufa na kijiba cha roho. Bora nikajipe raha tufe wote taratibu. KHA!!
 
sasa rafiki inategemea na type ya mume mwenyewe inaweza ikawa ndo wale hata ukiona msg ya ajabu kwenye simu yake ukiuliza anakwambia nani kakuambia ushike simu yangu na ukiendelea kuhoji ugomvi unaanza mmh ivi vitu vingine sikia kwa jirani tu kuna watu vichwa ngumu

Anajilaumu alafu kakaa tu kimya ningekua mimi ningemtandika mpaka aseme na walah angesema 2 shwain nimeona msg unaifuta halafu unaniambia cjui lazima kingeeleweka hapo huyo mwanaume analelewa nini?
 
Ushauri wa bure, Mie ninawasiwasi na huyo kaka, kama hampi haki yake huyo dada, wanawake huwa hawakawii kutafute malisho mengine. Na sio vitu vikubwa wanavyo hitaji hawa viumbe. Wanahitaji kuona ni special, important, needed na siyo kuwakiwa wakiwa kila siku. Sasa sometimes watu wanachanganya mke na wanawake anao fanyanao kazi kwake ni sawa. Ebu ajaribu kurevise life pale home.
 
Hamna ndoa hapo mkuu jamaa acjhukue chake mapema tu
 
angalia utakufa cha msingi ni uaminifu, la mambo yakizidi mwonye akikataa waambie wazazi asiposikia huyo ni sikio la kufa !
 
Huyo jamaa yako wanamchakachulia ndoa, cha muhimu aamue moja:

  1. Akae aongee na mkewe ajue tatizo na kama linarekebishika (pia kama ana moyo mpana) asamehe waanze maisha mapya!!!!:redfaces:
  2. Wakae waongee utaratibu wa KUGAWANA MALI.
 
Utaratibu wa kugawana mali wa nini, muuji unagawana vipi mali nae? ki ukweli tumekuwa siyo waaminifu kwenye ndoa zetu ndiyo maana kila kukicha mambo yanakuwa magumu ukiuliza oon ni hali ya uchaguzi ndiyo maana hakuna hela, kumbe ni ufuska unaoendelea kwenye familia zetu. Cha msingi ni kuongea na kuweka mambo wazi, ikizidi sana, kaka yangu ondoka na kabegi kako wahi ukaanze maisha upya huyo ni jinamizi atakuua bure hana mshipa wa aibu, hana adabu, hana akili pia nafikiri hana Mungu completeley!

Ogopa mwanamke au mwanamme asiye na aibu (hamwogopi Mungu kwa lolote). Unamfanyia mkeo au mumeo mambo machafu unaona ni kawaida, una uwezo wa kujibu majibu yoote ya ****** na mtaani bila kufikiri kule mlikotoka. Hivi kwa akili zetu za kawaida bila Mungu, huyo anayekufanya umfanyie mkeo au mmeo hayo baada ya kuachhana atakuchukua? hata kwa shinikizo la millioni 50 hakukaribisihi kwake wewe ulikuwa disposable ata that particular time.

Jali ndoa zenu, unaweza kufanya huo uhuni wako kimya na usikifikie hatu ya kufanya dharau mbele ya familia yako. I bless you guys Mungu atutie nguvu huyo pepo wa ngoni asituvamie.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…