Simu za WhatApp pekee ndiyo hawawezi kurekodi

Kuwa free hawawezi rekodi wala hawana uwezo wa kusikiliza simu zote. Watasikiliza targetted tu.

NSA wenyewe hawana huo uwezo
Watanzania vichwa vigumu hawatakuamini. Watu wanaiona TCRA kama CIA au FBI.
 
Watanzania vichwa vigumu hawatakuamini. Watu wanaiona TCRA kama CIA au FBI.
Hawana huo uwezo wala hawana watu wa kusikiliza simu.
Watu ambao nina uhakika simu zao zinasikilizwa ni
Viongozi wote wa chadema
 
Hawana huo uwezo wala hawana watu wa kusikiliza simu.
Watu ambao nina uhakika simu zao zinasikilizwa ni
Viongozi wote wa chadema
Hawawezi mkuu kwa zaidi ya watu 40m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…