simu zetu Zina crake Sana

simu zetu Zina crake Sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni simu chache nimeona kwa watu ndio hazina crake kwenye kioo.katika simu kumi utakuta simu Saba Zina crake.tumeshindwa kununua protector original.wengi ambao simu zao zimevunjika Ni masela,ma beki 3,wakina mama,walevi Ila watu ambao wako ofisini simu zao ziko vizuri.
 
Jamani 🤣🤣🤣ngoja nikabadili hii screen protector weekend[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada yaani kama umeiona simu yangu jamani...
 
Punguza dharau ndio maana uolewi.
Ni simu chache nimeona kwa watu ndio hazina crake kwenye kioo.katika simu kumi utakuta simu Saba Zina crake.tumeshindwa kununua protector original.wengi ambao simu zao zimevunjika Ni masela,ma beki 3,wakina mama,walevi Ila watu ambao wako ofisini simu zao ziko vizuri.
 
Dah...anayemiliki simu yenye nyufa lazima awe na sifa mojawapo;
1. Mlevi
2. Ana mtoto mtundu
3. Nywila/ pattern ilionwa mpenzi wake.
4. .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni maisha halisi wala hujakosea cm zetu kuwa na crake inatokana na masumbuko ya dala dala,madogo wa home, purukushani za mafumanizi ,kulewa
Kwa mtu anayeshinda ofisini ni vigumu kumkuta hayo
 
Back
Top Bottom