Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฒ๐๐ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐ฝ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐ธ๐๐น๐ถ๐ธ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ผ๐ผ ๐๐น๐ถ๐ฐ๐ต๐ผ๐ป๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ
Inawezekana kama ni jambo la kushangaza lakini ndo uwalisia!! Utafiti unaonyesha simu tunazozimiliki ni chafu kuliko hata kile kiti Cha chooni au sinki la chooni.
Uchunguzi umefanyika na kugundulika kuwa simu zetu tunazozitumia zina bakteria wengi kuliko hata kiti Cha chooni. Watu wengi hawapendi kusafisha simu zao na kufanya kuwa ni sehemu ya mazalia ya vijidudu.
Tofauti na choo ambapo usafishwa mara kwa mara lakini kwenye simu uchukua bakteria wengi kupitia mikono Yetu, nyuso zetu na kusababisha kuchangia kuongezeka kwa viini vyao.
โ simu inaweza kubeba bakteria mara 10 zaidi ya viti vingi vya chooni au sinki za chooni.
โ simu zetu huweza kubeba virusi vinavyopeleka watu kupata ugonjwa wa mafua, baridi, kipindupindu, minyoo nk.
Ebu tuambie mara ya mwisho kusafisha simu yako ilikua lini tuachie maoni yako ?