Simu zinamambo

Simu zinamambo

Henry Temu

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
85
Reaction score
22
Unampigia cmu mpenzi wako ucku sa 5 unamtafuta kesho yake anakuambia alikua anaongea na mjomba wake,kuna ukwel hapo?
 
kwa nini kusiwe na ukweli, je kama mjomba anaishi ughaibuni!!!
 
Mkuu inategemeana na mazoea kama anaongea mara kwa mara mida hiyo, anza kuchunguza
 
Hivi ndo vichekesho vinavyonifanya nisizeeka. Maana kabla ya kulala nikikumbuka naanza kucheka peke yangu wakati natafuta usingizi. Lol.

mjomba ni sugar daddy wake
so yuko sahihi
anamuita mjomba ndo jina alilochagua kumuita
 
Back
Top Bottom