Simu zinamambo

Kama huamini kama huwa anaongea na mjomba wake,muombe namba za mjomba wake huyo,ili next time ukikuta namba busy unajaribu kupiga ya mjomba uhakikishe kama ni kweli huwa anaongea na uncle au ni kidumu chake
 
Kama huamini kama huwa anaongea na mjomba wake,muombe namba za mjomba wake huyo,ili next time ukikuta namba busy unajaribu kupiga ya mjomba uhakikishe kama ni kweli huwa anaongea na uncle au ni kidumu chake

akikupa hyo namba ikawa ndo ya kidumu chake akakuambia ndo mjomba?
 
punguza woga kijana sisi wakina (eva/hawa) wajanja sana hata mkiwa mmekumbatiana anaweza akawa anachat na kibuzi ,af mbona sa 5 mapema tu au ni mkeo na wewe uko mbali nae af unajua hana mjomba ?naona kama una wivu sana wewe!mchunguze taratibu kama una mashaka nae, mtani wangu usijepata presha bure, kumbe wifi yangu walaa hana mambo hayo?au kuna kitu umeficha hujatuambia,funguka mana mficha maradhi kifo kinamuumbua....
Unampigia cmu mpenzi wako ucku sa 5 unamtafuta kesho yake anakuambia alikua anaongea na mjomba wake,kuna ukwel hapo?
 

ah msofe hapo umenena,ila haija nitokea min,kwa kaka angu mtani
 
Yaani ulivyoona ipo busy hukupiga tena mpaka kesho yake? Ndo mana anaongea na wajomba!
 
Mjomba ni 'relative term' bro
Yeyote aweza itwa mjomba ilimradi anamudu majukumu ya ujomba..
Stuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…