mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
picha?
Simu zinauzwa aina ya HTC desire 300, Blackberry Z10 na Samsung Galaxy S3 mini Ziko ktk Hali nzuri sana Blackberry Z10 -420,000, HTC Desire 300 - 360,000 na Samsung Galaxy S3 Mini 360,000 Bei azipungui, Kwa anayehitaji ani PM..
Kama hujui hata picha ya hzo simu pesa ya kununulia utaijua?achen upuuuzi kama huna pesa kaaaa kimya nguchiro tasa ww
Samsung Galaxy3 imetengenezwa inchi gani?....China?
Unauza kama bei za mliman city bhnaa duuh
picha?
Mamakibunju hzo bei mbna nzto sana
Ukiona hivyo ujue za ukweli..! Vp kwani are u interested?
Yap bt bei nzto, den umeandka kua haipungui