econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mbowe , Mnyika na Wenje walihamasisha CHADEMA ishiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na wengi kuona kasoro zilizokuwepo za uchaguzi kusimamia na TAMISEMI.
Mwenyekiti Mbowe ndio akaja na kuweka maamuzi ya kwba CHADEMA itashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya uchaguzi CHADEMA ikapata Asilimia 0.78. Wote, Cha kushangaza wote walliopiga kelele CHADEMA ishiriki wakaingia mitini kimya. Lema siku ya kupiga kura akajidai kuzira kwamba hatajisumbua kuhangaika na huo uchaguzi CCM wakitaka wachukue kila kitu. Nikawa najiuliza walishiriki Kwa nini?.
Nimegundua ni utapeli wa Wenje, Mnyika na Mbowe. Ni kama walitumika Kwa kujua. Leo Mbowe anasema walishiriki uchaguzi ili watu waone panapovuja. Nani hajui tabia za CCM na uchaguzi?. Mimi nasema kushiriki Kwa CHADEMA kulikuwa Kuna mkono wa mtu akawatumia Mnyika, Wenje na Mbowe kuhamasisha CHADEMA ishiriki.
Narudia Tena simwamini Mbowe Tena, nilisimama naye wakati wa Lowassa pamoja kwamba sikumtaka Lowassa ila Kwa haya anayofanya Sasa hivi kuingiza chama chaka simkubali kabisa pamoja na akina Wenje na Mnyika. Hawa watu wakiendelea watakiua Cha chetu Cha CHADEMA.