Simuelewi Baba Mkwe wangu


Kabisa kiongozi
 
Aisee unapata wapi muda wa kuonanaq na baba mkwe ?? Mimi nilipotoa mahal kisha sendoff ya wife aisee ilipita almost 2 years sijaonana na wakwe.Ila wajukuu nawapelekea wakawasalimie na mama yao ndio anakwenda nao mara moja moja

Kuna somo hapa
 
Tafuta pesa mkuu ili uache kuleta 'sredi' kama hii...

Uzia wote huo, hapo mchawi ni shekeli tu...
 
Acha unyonge

Chapa kazi, make money and earn respect

Wazee wengine ni washamba sana
 
Mpige marufuku asikanyage kwako, hapo ni kwako sio kwake, huli chake
 
Mazoea sio mazuli na wakwe mkutane kwenye shuuli za muhimu kukutana mala kwa mala ndo dharau zinaanza apo
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.
Acha dharau anajua utakua unamkunja sana mwanae afu kingine huyo dingi enzi zake alikua muhuni sana usikute aliwahi kumtomba hawa wazee wa Dar sio watu wazuri
 
Tatizo umekua mgumu.. mwaga mchele mzee mwenyewe atalainika
 
Mpe bia za kutosha siku 1 mpka moyo wake ukufungukie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…