Simuelewi Baba Mkwe wangu

Hizi ni dalili za mzee mmoja jirani, kazaa na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe!

Inasikitisha lakini imetokea.

Yule binti mkubwa alichukuliwa na jamaa wakaanza kuishi, sasa wakigombana binti anakimbilia nyumbani.

Mume akimfuata wayamalize, jamaa alikuwa ananyanyaswa kinyama na ba'mkwe kwa matusi na kuwekewa mapingamizi ya kurudi na mwenziye nyumbani!

Wameenda wameendaa, kuja kugundua jamaa akajivua gamba kwa kubwaga manyanga.

Na ba'mkwe naye kurudishiwa binti yake ikawa kama chura kapigwa teke, ni sherehe!
 
Mpuuze tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
ili akuheshimu inatakiwa ajue umemdharau na hakumizi kichwa fanya hivi siku akikupigia sm muulize yeye nani akijitambulisha usiombe msamaa muendee na mazungumzo


Mara ya pili akipiga tena sm fanya hivyo hivyo muulize wewe nani

Amini nakwambia utampa mzee stress za kukuwaza na ataanza kuheshimu
 
Kuna wazee wengine washenzi kweli wanatabia za kuwatafuna mabinti zao. Uumia wanapoolewa
 
Bora hata wako. Baba Mkwe wangu hana namba yangu ukimpigia kumsalimia anakuuliza we nani[emoji16][emoji16] unajitambulisha siku zinaenda. Mara ya pili tena unaulizwa we nani[emoji16][emoji16] mtu ana nguvu kabisa nkajitumia na ka pesa ka mafuta ya gari lake akaona ila hawezi kusevu namba. Mara ya 3 namsalimu anauliza tena we nani nikajitambulisha nika relax ni mwaka wa 3 huu salam nazisikia kwa mwanae. Akaanza niingilia kwenye familia yangu niliwasha Moto huko kwao hamna nae ongea nae sina shida kabisa staki ujinga
 
Ulituma na ya kutolea
 
Mkuu wewe tayari ni mtu mzima so unapaswa kuishi na watu wazima kama mtu mzima na uhakikishe nao wanakuchukulia kama mtu mzima na sio mtoto mdogo wa kumkoromea hovyo au kumkaripia wanavyotaka!
Hebu jikakamue muulize huyo baba mkwe wako ana maana gani kukupiga kijicho kijicho kama anakukaripia!???
 
Vaa uso wa Kanda ya ziwa, uone kama hajawa mpole

Hope umeelewa
 
That is so me.
 
mda wa kukaa kuangaliana na baba mkwe unautoa wapi???
 
Mkate kidevu na taya kabisa labda taya ikilegea atacheka
 
Jiangalie wewe!! Wazee wengine wanakulaga hao mabinti tena vizuri tu halafu mbaya zaidi km Mkewe alimchepukia akazaa huyo Binti wa nje ya ndoa!! lazima mzee alijipinda hapo!!

siku hizi Mke akizaa nje mtoto wa kike lazima aliwe tuu stuka!!! wanafanana migongo na mkeo kwani?? anaumia/chukia utamu wake umeondoka!..sasa ataponea wapi?

Labda jiulize Binti uLimkuta Bikra?? na kama siyo alikwambia aliya mbikiri ni nani??? stuka Jombi!...mtoto wa kike wa nje ya ndoa ni malisana, wanatunzwa tu siku hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…